Город МОСКОВСКИЙ
00:07:20

MAOMBEZI:YESU AMFUNGUA MAMA HUYU TATIZO LA TUMBO KUJAA GESI ZAIDI YA MIAKA 20.

Аватар
Светские впечатления в цветах
Просмотры:
83
Дата загрузки:
30.05.2024 16:44
Длительность:
00:07:20
Категория:
Лайфстайл

Описание

Mama huyo alikuja kuombea yeye na familia yake.Ameteseka na tatizo la Tumbo kujaa gesi kwa miaka zaidi ya ishirini ,Amepatiwa kila aina ya dawa za hospital kusifae kitu bali uchumi wake kuharibika na Roho ya madeni kumuandama. Yesu alimponya na na tatizo lake kuisha.

Muujiza huu umerejesha furaha yake pamoja na Familia.

Hata hilo unalopitia wewe ,Mungu ameliona.Mtegemee yeye utapona tu.
Karibu-FPCT ADONAI REVIVAL TEMPLE MOROGORO

Рекомендуемые видео